Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Wabunge, kutoka kushoto ni Wabunge wa Viti Maalum, Mwasi Kamani (Mwanza), Asia Malamga (Manyara), Waziri wa Madini, Dotto Biteko na Mbunge wa Mbulu vijijini, Flatei Massay, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi EAGT Iguguno mkoani Singida, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.