Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, Bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Juni 28, 2021. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.