RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na I
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afri Duniani Nchini Tanzania (WHO) Dr.Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 3/6/2021 katika ukumbi wa Ikulu akiwa na Ofisa wa WHO Zanzibar Dr.Ghirmay Redae Andemichael.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania Dr.Tigest Ketsela Mengestu (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Afisa wa WHO Zanzibar Dr. Ghirmay Redae Andemichael, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
SOLWA WAZINDUA KAMPENI KWA KISHINDO! AHMED SALUM ATAKA MAKUNDI YAVUNJWE
-
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Solwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Ahmed
Ally Salum akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Jimbo la Solwa, kulia
ni Mweny...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment