Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Maswali Kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa.

Waziri Mkuu Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majalia akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge wakati wa mkutano wa Bunge Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge, bungeni jijini Dodoma
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.