Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanawake wa Tanzania katika
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention
Center Jijini Dodoma leo tarehe 8 June, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanawake wa Tanzania katika
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention
Center Jijini Dodoma.
Wanawake mbalimbali nchini
wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan wakati akiwahutubia katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya
Kikwete Convention Center Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimtunza Msanii wa Taarabu Sabah
Salum Muchacho wakati akitumbuiza katika mkutano wa Wanawake wa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya
Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo tarehe 8 June, 2021.
PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment