Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muingano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amekutana na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mhe. Wamkele Mene Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 30,021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Wamkele Mene Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mhe. Wamkele Mene Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 30,021.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.