Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi "B"Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo.4-6-2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi "B"Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume (hayupo pichani) baada ya kumaliza mazungumzo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi "B"Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Mwinyi alikwenda
kumjuulia hali Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai Nahodha huko nyumbani kwake
Chukwani, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Pia, Alhaj Dk. Mwinyi alifika nyumbani kwa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabih huko Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi kwa ajili ya kumjuulia hali.
Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar
Postal Address: 2422 Tel.:0777427449. Fax: 024
2231822
E-mail:
rajabmkasaba@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment