Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amefungua Kongamano la Siku 100 za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea wakati wa Ufunguzi wa  Kongamano  la siku 100 za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambalo linatoa mrejesho kwa wadau wa Baraza la Wafanyabiashara (TNBC) lililofanyika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere 

Washiriki wa Kongamano  la siku 100 za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambalo linatoa mrejesho kwa wadau wa Baraza la Wafanyabiashara (TNBC) wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo lililofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Washiriki wa Kongamano  la siku 100 za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambalo linatoa mrejesho kwa wadau wa Baraza la Wafanyabiashara (TNBC) wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo lililofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Juni 27, 2021 Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.