Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Tanzania Inocent Haule wa Timu ya Veterani wa Unguja akiwania mpira na Mchezaji wa Timu ya Veterani ya Pemba Suleiman Juma wakati wa mchezo wa kirafiti wa Wachezaji wa Zanzibar wa Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Gombani Timu ya Veterani Pemba imeshinda kwa Penenti kwa bao.4-2.
Mchezaji wa Timu ya Veterani kutoka Unguja Abdulkadir Atash akijaribu kuwapita wachezaji wa Timu ya Veterani Pemba wakati wa mchezo wao wa Kitaifa wa Wachezaji wa Zamani wa Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa Gombani Pemba.
CHOTA MIHELA KUWAPA MASHAVU WATAZAMAJI WA WASAFI
-
Na.Khadija Seif, Michuzi TV
UONGOZI wa Wasafi Media wameitambulisha rasmi Kampeni ya Mchezo wa ubashiri
inayokwenda Kwa jina la "Chota Mihela'' kama se...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment