Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini akiwa na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi (kushoto)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na    Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga akiwa amemaliza muda wake wa Kazi Nchini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na  Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini,
[Picha na Ikulu] 16/08/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.