Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kuzungumza na Eng. Ahmed El Sewedy Mwekezaji Kutoka Nchini Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mhandisi Ahmed El Sewedy Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Elsewedy Electric ya Nchini Misri mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa kulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 13 Agosti, 2021. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhandisi Ahmed El Sewedy Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Elsewedy Electric ya Nchini Misri mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhandisi Ahmed El Sewedy Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Elsewedy Electric ya Nchini Misri mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 13 Agosti, 2021. PICHA NA IKULU. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.