Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea
Kombe la Ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA U23 kutoka
kwa Nahodha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Vijana U23 Reliant Lusajo leo tarehe
22 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa michezo, Wachezaji wa
Timu ya Taifa ya Vijana U23, Wanariadha walioshiriki michezo ya Olimpiki (Japan)
mara baada ya kupokea Kombe la Ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati
CECAFA U23 leo tarehe 22 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya Wachezaji wa timu ya Taifa ya
Vijana U23 wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wachezaji wa timu ya Taifa ya
Vijana U23 wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya Pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana ya U23 mara baada ya
kukabidhiwa kombe la Ubingwa wa CECAFA U23 Challenge Cup leo tarehe 22
Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri
No comments:
Post a Comment