Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Azindua Ofisi za FFU Mkoa wa Singida na Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida Agosti 29, 2021. Kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa, Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Singida Agosti 30, 2021. Kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa, Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro (katikati) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa  (kulia) wakati wa ufunguzi wa majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa na Ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Singida
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida Agosti 30, 2021. Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa,  kulia ni Mkuu wa Moa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na  wa pili kulia ni Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro
Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida ambalo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alilifungua Agosti 30, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida na Ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Singida, ambayo yamegharimu shilingi1.314 , Agosti 30, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.