Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Ashiriki Ufunguzi wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la UN.Jijini New York Marekani leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Sept 21,2021 ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaofanyika Jijini New York Marekani. 
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.