Habari za Punde

MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA TUME YA MIPANGO WAFANYIKA ZANZIBAR.

Mkurugenzi wa Mtendaji ANGOZA  hassan Khamis Juma (katikati)akifafanua jambo wakati akitoa hotuba kwa Waandishi wa Wabari kuhusiana na Mkutano utakao fanyika katika Ukumbi wa Madinatul-bahari utakao zungumzia kuhusu Kukuza Ubia na Majadiliano kuhusiana na mikakati ya Kitaifa ,Kikanda na Kimataifa  uliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.wa mwanzo kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Kitaifa Tume ya Mipango Jamila Abdalla Seif  na kushoto ni Mwakilishi kutoka shirika la Umoja wa mataifa la mipango ya maendeleo (UNDP)Kimwaga Muhiddin Ali.
Mwakilishi kutoka shirika la Umoja wa mataifa la mipango ya maendeleo (UNDP)Kimwaga Muhiddin Ali akijibu maswali  katika mkutano wa Waandishi wa Habari ulioandaliwa  kwa pamoja kati ya Tume ya Mipango Sekta binafsi na Asasi za Kiraia kuhusiana na kukuza Ubia na Majadiliano kuhusu mikakati ya kitaifa Kikanda na Kimataifa uliofanyika katika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Kitaifa Tume ya Mipango Jamila Abdalla Seif akitoa ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa  katika mkutano wa Waandishi wa Habari ulioandaliwa  kwa pamoja kati ya Tume ya Mipango Sekta binafsi na Asasi za Kiraia kuhusiana na kukuza Ubia na Majadiliano kuhusu mikakati ya kitaifa Kikanda na Kimataifa uliofanyika katika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Daily News Issa Yussuf akiuliza maswali katika mkutano wa Waandishi wa Habari ulioandaliwa  kwa pamoja kati ya Tume ya Mipango Sekta binafsi na Asasi za Kiraia kuhusiana na kukuza Ubia na Majadiliano kuhusu mikakati ya kitaifa Kikanda na Kimataifa uliofanyika katika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Karim  akiuliza maswali katika mkutano wa Waandishi wa Habari ulioandaliwa  kwa pamoja kati ya Tume ya Mipango Sekta binafsi na Asasi za Kiraia kuhusiana na kukuza Ubia na Majadiliano kuhusu mikakati ya kitaifa Kikanda na Kimataifa uliofanyika katika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano ulioandaliwa  kwa pamoja kati ya Tume ya Mipango Sekta binafsi na Asasi za Kiraia kuhusiana na kukuza Ubia na Majadiliano kuhusu mikakati ya kitaifa Kikanda na Kimataifa uliofanyika katika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Zanzibar.
 PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.