Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Waziri wa Ulinzi Dkt.Stergomena Tax.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt.  Stergomena Tax, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 14, 2021 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.