Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Atembelea Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka  kwa Meneja Uendeshaji wa  viwanda cha kusafisa Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha  Mjini Geita, Ahmet Lyal  (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa  kiwanda hicho, Sarah Masasi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na  Sarah Masasi ambaye ni  Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold Refinery kilichopo Mjini. Geita  baada ya kukitembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.