Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa na viongozi wa machinga kwa njia ya Video akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 15, 2021. Wengine pichani kutoka kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt.Festo Dugange, Katibu Mkuu TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (ELIMU), Gerald Mweli.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa na viongozi wa Machinga kwa njia ya Video akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 15, 2021. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo (wa pili kulia), Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange (wa tatu Kulia) na Katibu Mkuu TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe baada ya kuzungumza na Wakuu wa Mikoa na viongozi wa Machinga kwa njia ya Video akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 15, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment