Habari za Punde

Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Maafa Namba 7 ya mwaka 2015 Bungeni Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi juu ya hoja zilizowasilishwa na wajumbe wa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa maafa Namba 7 ya mwaka 2015 Bungeni Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2021.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Nagma Giga akiongoza kikao cha kamati hiyo walipokutana kwa lengo la kujadili masuala ya Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa maafa Namba 7 ya mwaka 2015 Bungeni Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kaspar Mmuya akijibu hoja za wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria walipokutana kujadili masuala kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa maafa Namba 7 ya mwaka 2015 Doodma.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Menejimenti ya Maafa ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Charles Msangi akiwasilisha taarifa kuhusu masuala ya menejimenti ya maafa wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kilichofanyika Bungeni Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Omary Ally akichangia jambo wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Adam Mwakasaka akichangia jambo wakati wa kikao hicho, kulia ni mbunge viti maalum vijana Mhe. Ng’wasi Kamani.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Asha Abdalla akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Nagma Giga wakati wa kikao hicho.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Patrobas Katambi akinukuu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kilichofanyika hii leo.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.