Habari za Punde

Kumbukumbu ya maadhimisho ya Elimu bila ya malipo yalivyofanyika kisiwani Pemba

MMOJA wa Vijana wa skauti Kisiwani Pemba, ambaye jina lake halikupatikana mara moja, akigawa toleo maalumu la miaka 57 ya elimu bila Malipo kwa wananchi mbali mbali, waliohudhuria maadhimisho hayo hivi karibuni Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WANAFUNZI wa Skuli za Msingi Kisiwani Pemba wakisoma, toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila Malipo Kitaifa Maadhimisho hayo yamefanyika Kiswani Pemba hivi Karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA

WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba wakisoma kwa umakini Toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila Malipo kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

BAADHI ya walimu kutoka skuli mbali mbali wakipitia kwa umakini Toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila malipo, kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) MADAKTARI wa Huduma ya kwanza wafungua toleo maalumu la miaka 57 ya Elimu bila ya Malipo, Kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.