Habari za Punde

Matayarisho ya Uzinduzi wa Tamasha la Harusi Zanzibar (Zanzibar Wedding Festival )

Muongozaji wa Hamasa wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) Farid Fazach, akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kuhusu Uzinduzi wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo, huko Hoteli ya Serena iliyopo Shangani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Lela Mohamed Mussa, akiwaeleza  Waandishi wa habari  lengo la Uzinduzi wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo, huko Hoteli ya Serena iliyopo Shangani Mjini Zanzibar.

Baadhi ya waandishi wa habari waliyohudhuria katika Uzinduzi wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo, huko Hoteli ya Serena iliyopo Shangani Mjini Zanzibar.

Picha na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.