Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said (katikati) akizungumza baada ya utiaji wa saini ya Hati ya makubaliano na Mkurugenzi wa Qatar Fund For Development Bw.Khalifa Al Kuwari (kulia kwake) na (kushoto kwake) Balozi wa Tanzania Nchini Qatar Mhe. Balozi Mahadhi Juma Maalim, kuwawezesha kuwarejesha Skuli wanafunzi walioacha kuhudhuria masomo katika Skuli za Zanzibar.
TET NA TANZANIA AI COMMUNITY KUSHIRIKIANA KUBORESHA UFUNDISHAJI KWA
TEKNOLOJIA YA AI
-
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imepanga kufanya mafunzo ya kukuza uwezo
kwa wakuza mitaala na walimu nchini kwa kutumia Akili Mnemba (AI) ili
kukuza ufani...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment