Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Afrika College Of Insurance & Social Protection Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insurance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wa Uongozi wa Chuo hicho walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 27/10/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisitiza jambo wakati wa mazungumzo na  ujumbe wa Uongozi wa Chuo cha Afrika College Of Insurance & Social Protection unaoongozwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insurance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia)   walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 27/10/2021.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi wa Chuo cha   Afrika College Of Insurance & Social Protection uliongozwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insurance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (kulia) mara baada ya mazungumzo na kujitambulisha   walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 27/10/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.