Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amemtembelea na Kumjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Lowassa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa wakati alipo mtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Oktoba 2021.  Kushoto Mke wa Mhe. Lowassa Mama Regina Lowassa.
PICHA NA IKULU.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.