Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amedhuria Kilele za Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Uwanja wa Magufuli Chato.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mawaziri wa SMT na SMZ alipowasili katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato kuhudhuria hafla ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Chato, na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana. 
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita na (kushoto) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mjane wa Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Mama Maria Nyerere
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakifuatilia Vijana wa Halaiki wakionesha maumbo mbalimbali, wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge  wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato 
VIJANA wa Halaiki kutoka Mkoa wa Geita wakionesha onesho la Mlima Kilimanjaro ukiwa na Mwenge wa Uhuru ukimurika katika mipaka yote ya Tanzania, wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na kumbukizi za Kifo cha Baba wa Taifa Marehemu  Mwalimu Julius Nyerere na Wiki ya Vijana.hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato

Wasanii wa Kimundi cha Ngoma ya asali kutoka Mkani Geita wakitowa burudani wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama, akizungumza wakati wa hafla ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo ya Kiongozi wa Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021, Luteni Josephine Mwambashi, kabla ya kumkabidhi baada ya kukamilisha zoezi la ukimbizaji wa Mwenge Nchini Tanzania Bara na Zanzibar, wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Kiongozi wa Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021, Luteni Josephine Mwambashi, kabla ya kumkabidhi baada ya kukamilisha zoezi la ukimbizaji wa Mwenge Nchini Tanzania Bara na Zanzibar, wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato. 

Kiongozi wa Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021, Luteni Josephine Mwambashi, akisoma taarifa ya mbio za Mwenge wa Uhuru kabla ya kumkabidhi  taarifa ya mbio za Mwenge.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan , wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato. 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika uwanja wa Magufuli katika hafla ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Wilayani Chato Mkoa wa Geita

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita na (kushoto) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mjane wa Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Mama Maria Nyerere na Njane wa Marehemu John Pombe Magufuli Mama Janet Magufuli wakifua hafla hiyo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia hafla hiyo. 
BAADHI ya Viongozi wa Dini na  Wananchi wakifuatilia Kilele cha Mbio  Maalum za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita leo 14-10-2021, mgeni rasmin akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutumia katika hafla hiyo ya Kilele ya Mbio za Mwenye wa Uhuru Kitaifa Mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na (kushoto kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama, (kulia kwake) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Isdor Philip Mpango  na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, wakiwa katika poicha ya pamoja na Wakimbiza Mwenye wa Uhuri Kitaifa Mwaka 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na (kushoto kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwake) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Isdor Philip Mpango wakiwa katika poicha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa Miwili ya Kusini Unguja Mhe Hadid Rashid Hadid Mkoa wake Ndio kulioaza Mbio za Mwenge wa Uhuru Katika Kijiji cha Makunduchi na Mkuu wa Mkoa wa Geita Rosemery  Senyamule. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama, baada ya kumalizika kwa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.