RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la
Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, alipofika
Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-10-2021, mazungumzo
hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la
Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, alipofika
Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika
katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar na
(kulia kwake) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar
Nondo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la
Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, alipofika
Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika
katika ukumbi wa Ikulu leo 21-10-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment