RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa
Mataifa Tanzania Bw. Zlatan Milisic,Mratibu wa UN Zanzibar.Bi.Dorothy Temu
Usiri na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar
Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhutubia maadhimisho ya miaka 76 ya
Umoja wa Mataifa UN.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa wa WHO .Dr.Vendeun Simon
alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho ya Vijana wakati wa hafla ya
Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa (UN) na (kulia kwa Rais) Waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar.Mhe. Nassor Ahmed
Mazrui.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea mabanda ya maonesho ya Vijana
ya kuadhimisha Miaka 76 ya UN, yaliofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa
Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais)
Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic na (kulia
kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto
Zanzibar.Mhe.Nassor Ahmed Mazrui

Baadhi ya Mabalozi Wadogo wanaofanyia Kazi zao Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri wa SMZ na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaofanya Kazi zao Tanzania wkiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mratibu wa UN Zanzibar.Bi.Dorothy Temu Usiri akizungumza na kutowa maelezo ya Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa, katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa
Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi
wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
MKURUGENZI wa SMIDA Bw. Soud Said Ali akitowa
maelezo kuhusiana na Shindano la Kibunifu kwa Vijana Wajasiriamali kuhusiana na
Uchumi wa Buluu, wakati wa kuwazawadia washindi wa shindano hilo sambamba na
Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa, hafla hiyo imefanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mmoja wa Vijana walioshinda
Shindano la Ubunifu Barke Abdullah Ukusi.(hayupo pichani) akielezea Ubunifu
wake wa Samaki Mtandaoni, wakati wa hafla ya kuadhimisha Miaka 76 ya Umoja wa
Mataifa UN, yalioadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa
Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic.
MBUNIFU Kipimo cha Ujazo wa Mafuta katika
Matenki ya Kuhifadhia Mafuta (Computerised System for Oil Measuring) Ndg. Hamid
Abdullah Wailu, akitowa maelezo ya ubunifu wake huo wakati wa hafla ya
Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, yaliofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
MBUNIFU App ya Samaki Mtandaoni Ndg.Barke Abdallah Ukusiu, akitowa maelezo ya ubunifu wake huo wakati wa hafla ya
Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, yaliofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
MRATIBU Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini
Tanzania Bw. Zlatan Milisic akizungumza
na kutowa maelezo ya Maadhimisho ya Umoja wa Mataifa kutimiza Miaka 76 tangu
kuazishwa kwake, hafla hiyo ya maadhimisho imefanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia
na Watoto Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika hafla ya
Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
kuzungumza na Wananchi, hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho
ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanytia Kazi zao
Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika
Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho
ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
Baadhi ya Mawaziri wa SMZ na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaifanyika Kazi zao Tanzania wkimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Vijana na Wageni waalikwa katika Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa,
wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment