Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amewakabidhi Zawadi Washindi Vijana Wajasiriamali Wabunifu. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 76 ya UN

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti na fedha Mshindi wa Shindano la Ubunifu kwa Vijana Wajasiriamali Barke Abdallah Ukusi kwa Ubunifu wake wa Samaki Mtandaoni na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Milisic na (kuia kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti na fedha Mshindi wa Shindano la Ubunifu kwa Vijana Wajasiriamali Mohammed Wanimo kwa Ubunifu wake wa Mashine ya Kusagia Mwani na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Milisic na (kuia kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.