Habari za Punde

Wakaazi wa Mpapa wapatiwa mafunzo maalum ya ufugaji Nyuki

Baadhi ya Washiriki waliyopatiwa Mafunzo ya Ufugaji wa Nyuki, Huko Skuli ya Maandalizi Mpapa Wilaya ya Kati .

Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar
Muwakilishi wa Jimbo la Uzini Haji Shabani Waziri akifunguwa Mafunzo ya Ujasiriamali ya ufugaji wa Nyuki Huko Skuli ya Maandalizi Mpapa Wilaya ya kati.
Mkurugenzi kutoka Kampuni ya MKALAMA COMUNITY DEVELOPMENT FONDATION inayojishuhulisha na ufundishaji wa ufugaji wa Nyuki Samuel Msholi akitowa mafunzo ya ufugaji wa Nyuki, Huko Skuli ya Maandalizi Mpapa Wilaya ya kati.

Baadhi ya Washiriki waliyopatiwa Mafunzo ya Ufugaji wa Nyuki, Huko Skuli ya Maandalizi Mpapa Wilaya ya Kati .

Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.