WAANDISHI wa Habri Kutoka Vyombo mbali mbali vya
Habari Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini taarifa ya uzinduzi wa mradi wa
miezi sita unaojulikana kwa jina la Sauti Yangu, Amani Yangu, Hatma Yangu,
mradi huo unaotekelezwa na Klabu ya waandishi wa habari Pemba, mkutano
uliofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Klabu ya waandishi wa habari Pemba
(PPC)Bakar Mussa Juma, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya uzinduzi
wa mradi wa miezi sita, unaojulikana kwa jina ya Sauti Yangu, Amani Yangu,
Hatma Yangu, mradi huo unaotekelezwa na PPC, FCS na Search For Common Ground
kwa ufadhili wa Umoja wa Nchi za Ulaya mkutano uliofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Klabu ya Waandishi wa habari Pemba
(PPC)Bakar Mussa Juma (katikati) akirusha njiwa kuashiria uzinduzi wa mradi wa
miezi sita, unaojulikana kwa jina ya Sauti Yangu, Amani Yangu, Hatma Yangu,
mradi huo wa miezi sita unaotekelezwa na PPC, FCS na Search For Common Ground
kwa ufadhili wa Umoja wa Nchi za Ulaya mkutano uliofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya
habari Pemba, wakifuatilia taarifa ya uzinduzi wa mradi wa miezi sita,
unaojulikana kwa jina ya Sauti Yangu, Amani Yangu, Hatma Yangu, mradi huo wa
miezi sita unaotekelezwa na PPC, FCS na Search For Common Ground kwa ufadhili
wa Umoja wa Nchi za Ulaya mkutano uliofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAANDISHI WA Habari kutoka idara ya habari Maelezo
Pemba Time Khamis Mwinyi, akizingumza na waandishi wa habari mara baada ya
uzinduzi wa mradi wa miezi sita, unaojulikana kwa jina ya Sauti Yangu, Amani
Yangu, Hatma Yangu, mradi huo wa miezi sita unaotekelezwa na PPC, FCS na Search
For Common Ground kwa ufadhili wa Umoja wa Nchi za Ulaya mkutano uliofanyika
Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment