Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Aongoza Kikao cha Kamati ya Kusimamia Fedha Zilizotolewa Kwa Ajili ya Miradi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wenyekiti wa kamati ya kitaifa ya uratibu wa utekelezaji wa mpango  wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhudi ya UVIKO 19 akizungumza katika kikao cha kamati hiyo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.