Habari za Punde

Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi Wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto kwake) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kulia kwake) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Karume, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuwahutubia Wananchi katika hafla ya kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongizi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuwahutubia Wananchi katika hafla ya kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongizi wake
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuwahutubia Wananchi katika hafla ya kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongizi wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla ,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk,Ali Mohamed Shein. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar katika mkutano wake wa kuadhimisha Mwaka mmoja wa Uongozi wake, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar katika mkutano wake wa kuadhimisha Mwaka mmoja wa Uongozi wake, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

WANANCHI na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayuypo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tuliup Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaniu Karume Zanzibar

WANANCHI wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia Wananchi katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.