Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi
wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Mhe.Teo Sieng Seng mara alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Changi Nchini Singapore. Makamu wa Rais
yupo Nchini Singapore kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi
(Bloomberg New Economy Forum 2021 ).
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi
wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Mhe.Teo Sieng Seng mara alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Changi Nchini Singapore. Pembeni ni
Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda pamoja na Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Mbarouk.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment