Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akimkabidhi vifaa kwa ajili ya kusomea Mwanafunzi wa Kidatu cha Tano wa Skuli ya Sekindari Kiembesamaki A Saleh Abdulrahaman Jabir (kushoto kwa Waziri) mwenye ulemavu wa uziwi akikabidhiwa Komputa mpakato na Visaidizi vya usikivu, kwa ajili ya kumsaidia katika masomo yake, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Waziri ya Elimu Mazizini Jijini Zanzibar.
Vifaa hivyo amevitoa ikiwa ni msaada binafsi ulitokana na kuchangisha kupitia katika mtandao wake wa facebook.
No comments:
Post a Comment