-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma.
MONALISA NDALA AWACHARUKIA ACT-WAZALENDO, APINGA KUVULIWA UANACHAMA
-
*Ampa siku mbili katibu mkuu akanushe, baada ya hapo asilaumiwe
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mwenezi wa ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Joseph ...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment