RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za
Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt. Othman Abass
Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
11/11/2021
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Zanzibar Dkt. Othman Abass Ali akizungumza na kuwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa
Hesabu za Serikali, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11/11/2021 na kuhudhuriwa na Mawaziri na Makatibu
Wakuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za
Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt. Othman Abass
Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
11/11/2021
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman
Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.
Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar
Mhe.Jamal Kassim Ali, wakifuatilia Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali Dkt. Othman Abass Ali.(hayupo pichani) akiwasilisha ripoti hiyo,
hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu
wa Wizara za SMZ baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11/11/2021
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman
Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora
Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza
baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali.Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu
wa Wizara za SMZ baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11/11/2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na
Mawaziri na Makatibu Wakuu baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar
MAKATIBU Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt.Othman Abass Ali.(hayupo pichani) akiwasilisha ripoti hiyo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
No comments:
Post a Comment