Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakati akizundua Kamati ya Ushauri ya Kitaifa ya Utekelezaji wa Ahadi za Nchi kwenye Jukwaa la Kizazi chenye Usawa katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo tarehe 16 Desemba 2021.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment