Habari za Punde

Rais wa Zanzibar nac Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameufunga Mkutano wa Wadau wa Siasa Kujadili Hali ya Demokrasia Tanzania.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma kwa ajili ya ufungaji wa mkutano wa Wadau wa Kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Nchini Tanzania
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa mbalimbali alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma kwa ajili ya ufungaji wa mkutano wa Wadau wa Kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Nchini Tanzania
Mwenyekiti wa Mkutano huo Pro. Mkandala akiwasili mapendekezo yaliofikiwa katika mkutano huo, wa Wadau wa Vyama vya Siasa Nchini Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. uliowashirikisha Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa Tanzania.
Waziri wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama, akizungumza wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Wadau wa Siasa Nchini Tanzania kuzungumzia Demokrasia uliofanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, uliofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi. 
Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Nchini Tanzania wakifuatila mkutano huo wakati wa ufungaji uliofanyika katika ukumbi wa Hazini Jijini Dodoma, uliofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Sulihu Hassan na kufungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguji wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Nchini Tanzania, uliowashirikisha Viongozi wa mbalimbali wa Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma

WASHIRIKI wa mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufunga mkutano huo uliofanyika katika katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.