Habari za Punde

Mhe. Rais Samia Ahudhuria Maadhimisho ya miak 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud alipowasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Wimbo wa Taifa  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisimama wakati Wimbo wa Taifa la Zanzibar ukipigwa  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wastaafu  alipowasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari, 2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.