Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Hussein Mwinyi Azungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Wanahabari Ikulu Jijini Zanzibar.

WAANDISHI wa Habari na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari magazeti na TV  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) akizunguma katika mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-1-2022.

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kusisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Wahariri wa Vyombo vya habari na Waandishi wa magazeti na TV, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAANDISHI wa Habari na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari magazeti na TV  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) akizunguma katika mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-1-2022.
MWANDISHI wa Habari Mkongwe Zanzibar Bw. Said Salim akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, na Wahariri wa Vyombo vya habari na Waandishi wa habari wa magazeti na TV, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-1-2022.
/MHARIRI wa New Habari Bw. Absalom Kibanda akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, na Wahariri wa Vyombo vya habari na Waandishi wa habari wa magazeti na TV, uliofanyika leo 31-1-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akifuatilia maswali ya Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari za magazeti na TV, kupitia njia ya zoom, wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari uliofanyika leo 31-1-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wa Magazeti na TV, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akijibu maswali yalioulizwa wakati wa mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-1-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.