Habari za Punde

Serikali ya wanafunzi SUZA yaandaa kongamano la kuadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Baadhi ya wanafunzi wa Skuli mbalimbali za Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakifuatilia kongamano la kuadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar lilioandaliwa na Serikali ya wanafunzi  ya Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZASO)  ikishirikiana na Chuo huko Ukumbi wa Utalii Maruhubi Zanzibar.

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Prof.mohd Makame akizungumza machache na kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi, (AR) ,Katiba, sheria, Utumishi na Utawala Bora kuzindua  kongamano la  kuadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar lilioandaliwa na Serikali ya wanafunzi  ya Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZASO) ikishirikiana na Chuo ,hafla iliyofanyika Ukumbi wa Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar.

Waziri wa Nchi ,(AR) ,Katiba , Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mh. Haroun Ali Sleiman akizindua kongamano la kuadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar lilioandaliwa na Serikali ya wanafunzi ya Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZASO)  ikishirikiana na Chuo huko Ukumbi wa Utalii Maruhubi Zanzibar.

 Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dkt.Abdalla Rashid Mkumbukwa akiwasilisha mada ya Historia ya Mapinduzi matukfu ya Zanzibar na falsafa za Marehemu Mzee Abeid Karume katika kongamano la kuadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar lilioandaliwa na Serikali ya wanafunzi  ya Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZASO)  ikishirikiana na Chuo huko Ukumbi wa Utalii Maruhubi Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.