Habari za Punde

Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Donge Mtambile Saccos

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Rahma Kassim Ali, akifunua Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi  Jengo la Donge Mtambile  Saccos Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja , Ikiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Jiwe la Msingi Jengo la Donge Mtambile Saccos Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja , limewekwa na  Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Rahma Kassim Ali, Ikiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Rahma Kassim Ali,akizungumza baada ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  Jengo la Donge Mtambile  Saccos Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja , Ikiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 (PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.