Habari za Punde

Hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi katika mitaa ya michezani wakati wa Matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi yake ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (kulia kwake) Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Salma Kikwete na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa katika matembezi hayo, yalioazia Kiembesamaki na kumalizia katika viwanja vya Mao Zedung.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi yake pamoja na Wake wa Viongozi (kulia kwake) Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mama Siti Mwinyi, Mama Mary Majaliwa, wakishiriki matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi hiyo (Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi yake katika viwanja vya Mao Zedung na (kulia kwake) Mama Anna Mkapa, Mama Siti Mwinyi na Mama Salma Kikwete na (kushoto kwake) Mama Mary Majaliwa, wakishiriki katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 7 yalioazia katika eneo la kiembesamaki.(Picha na Ikulu) 
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi yake katika viwanja vya Mao Zedung na (kulia kwake) Mama Anna Mkapa, Mama Siti Mwinyi na Mama Salma Kikwete na (kushoto kwake) Mama Mary Majaliwa, wakishiriki katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 7 yalioazia katika eneo la kiembesamaki.(Picha na Ikulu) 

 

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kuzindua Taasisi yake katika viwanja vya Mao Zedung iliyotanguliwa na Matembezi yalioazia katika viwanja vya kiembesamaki na kumalizia uwanja wa mao Zedung na kutowa huduma za kucheki afya kwa Wananchi mbalimbali.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa hundi ikiwa mchango kutoka Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB Bi. Tully Mwambapa, wakati wa Uzinduzi wa Taasisi hiyo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Umoja wa Wake wa Viongozi (kushoto kwake) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na (kulia kwake) Mama Tunu Pinda, Mama Anna Mkapa na Mama Asha Suleiman Iddi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhi mchango wake katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi hiyo ulifanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa mchango wa fedsha kutoka kwa Umoja wa Wake wa Viongozi Tanzania akikabidhiwa na Mama Tunu Pinda(kushoto kwake) wakati wa Uzinduzi wa Taasisi yake ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) hafla hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 19-2-2022.(Picha na Ikulu)

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.