WAFANYABIASHARA wadogo wadogo Pemba, wakifuatilia
kwa makini Mafunzo Maalumu yanayohusiana na Mabadiliko kutoka Lumpsum kwenda
Stamp Duty Composition, mafunzo yaliyotolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)
Pemba na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN)
AFISA Elimu kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)
Raya Suleiman Abdallah, akizungumza na wafanyabiashara wadogo wadogo Pemba, juu
ya mabadiliko kutoka Lumpsum kwenda Stamp Duty Composition, mafunzo
yaliyotolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Pemba na kufanyika mjini Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
AFISA Uhusiano kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)
Badria Atai Masoud, akiwafahamisha baadhi ya wafanyabiashara wadogo wadogo
Pemba ujazaji wa fomu ya marejesho ya Mwezi biashara katika fomu hiyo, wakati
wa mafunzo yaliyotolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Pemba na kufanyika
mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN)
AFISA Elimu kutoka bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)Raya
Suleiman Abdallah, akiwaonyesha wanafanya biashara wadogo wadogo Pemba, fomu ya
ujazaji wa marejesho ya Mwezi ya biashara, wakati wa mafunzo kwa
wafanyabiashara hao na kutolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Pemba na
kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN)
AFISA Elimu kutoka bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)
Raya Suleiman Abdalla, akimfahamisha mmoja wa wafanyabiashara wadogo wadogo
Pemba, jinsi ya kufanyamarejesho ya Mwezi ya biashara, wakati wa mafunzo kwa
wafanyabiashara hao na kutolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Pemba na
kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN)
AFISA Uhusiano kutoka ZRB Zanzibar Badria Atai
Masoud, akitoa maelekezo kwa baadhi ya wafanyabiashara jinsi ya kupata
marejesho ya Mwezi ya biashara yake, wakati wa mafunzo kwa wafanyabiashar hao
kutolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Pemba na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
AFISA Uhusiano kutoka ZRB Zanzibar Badria Atai
Massoud, akizungumza na Wanyabiashara wadogo wadogo Pemba, wakati wa Mafunzo
Maalumu yanayohusiana na Mabadiliko kutoka Lumpsum kwenda Stemp Duty
Composition, mafunzo yaliotolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Pemba na
kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN)
MENEJA wa huduma nyenginezo kutoka ZRB Pemba Abeid
Omar Salum, akizungumza na wafanyabiashara wadogo wadogo Pemba, wakati wa
Mafunzo Maalumu yanayohusiana na Mabadiliko kutoka Lumpsum kwenda Stemp Duty
Composition, mafunzo yaliotolewa na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Pemba na
kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN)
No comments:
Post a Comment