Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na ujumbe wa Madiwani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza Ujumbe wa baadhi ya madiwani wa Shehia mbali mbali   katika Manispaa za Mkoa wa Mjini Magharibi wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar  Mhe. Mahmoud Mohamed Mussa (wa pli kulia) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] 24/02/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo Ujumbe wa baadhi ya madiwani wa Shehia mbali mbali   katika Manispaa za Mkoa wa Mjini Magharibi wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar  Mhe. Mahmoud Mohamed Mussa (wa pli kulia)katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] 24/02/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.