Muonekano wa Jengo Jipya la kuhifadhia Maiti katika Hospitali Kuu ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar kama linavyoonekana pichani lililozinduliwa leo 12-2-2022 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Sehemu ya kuhifadhia maiti katika jengo jipya hiyo.
No comments:
Post a Comment