Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na wa Benki ya CRDB baada ya kuwasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ushirikiano Baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Benki ya CRDB Kupitia Mikopo ya Wajasiriamali ya Inuka na Uchumi wa Buluu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajasiriamali wakati akitembelea maonesho ya Bidhaa zao katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakati wa Uzinduzi wa Ushirikiano wa baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Benki ya CRDB kupitia Mikopo ya Wajasiriamali ya Inuka na Uchumi wa Buluu (kushoto kwa Rais) Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali Bi. Priscla
Tayari wa Kikundi cha Kibibi Product wakati akitembelea maonesho ya
Wajasiriamali wakati wa Uzinduzi wa Ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar na Benki ya CRDB Kupitia Mikopo ya Wajasiriamali wa Inuka, uliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kulia
kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Abdulmajid Nsekela na (kushoto
kwa Rais) Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Waziri wa
Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya bidhaa za Wajasiriamali katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakati wa Uzinduzi wa Ushirikiano wa baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Benki ya CRDB kupitia Mikopo ya Wajasiriamali ya Inuka na Uchumi wa Buluu (kushoto kwa Rais) Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban.na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw,. Abdulmajid Nsekela.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha
Mtule Amcos cha Paje Bw. Nassor Seif Ali,wakati akitembelea maonesho ya
Wajasiriamali wakati wa Uzinduzi wa Ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar na Benki ya CRDB Kupitia Mikopo ya Wajasiriamali wa Inuka na Uchumi wa
Buluu, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB
Bw.Abdulmajid Nsekela
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali wa Kiwanda cha Madawa Bw.
Mohammed Madawa akitowa maelezo ya utengenezaji wa dawa kupitia miti
shamba,wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali wakati wa Uzinduzi wa
Ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Benki ya CRDB Kupitia
Mikopo ya Wajasiriamali wa Inuka na Uchumi wa Buluu, uliofanyika katika ukumbi
wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Abdulmajid Nsekela.

No comments:
Post a Comment