Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aendelea na Ziara yake ya kikazi Nchini Ufaransa


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya ushirikiano katika sekta mbalimbali kati ya Tanzania na Ufaransa  iliyosainiwa  na Mkurugenzi mtendaji wa TADB Franck Reicster pamoja na Mwakilishi wa Serikali ya Ufaransa katika mji wa Brest nchini Ufaransa jana tarehe 11 Februari, 2022

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.