Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Watanzania waishio Ubelgiji na Luxembourg Brussels nchini Ubelgiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kikao na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg jana tarehe 18 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja  na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg jana tarehe 18 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.
Sehemu ya Watanzania mbalimbali waishio nchini Ubelgiji na Luxembourg wakiwa katika Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  Brussels nchini Ubelgiji jana tarehe 18 Februari, 2022. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.