WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qudus Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qudus Kijitoupele Wilaya ya Magharibi “A”Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumsalimia Bwanakhari Omar alipofika nyumbani kwake Kiembesamaki kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment